Powered By Blogger

About Me

My photo
moshi and iringa, kilimanjaro, iringa, Tanzania
A cool Tanzanian boy with appreciation, assistance and cooperation with every body for betterment.

Friday 19 August 2011

experience tanzania: UMEME SASA NI ISHU

experience tanzania: UMEME SASA NI ISHU: Hali ya umeme nchini imeendelea kuwa tete. Hii inatikana na kutoka kwenye mgao hadi UKOSEFU. Katika hali ambayo si ya kawaida baadhi ya mik...

UMEME SASA NI ISHU

Hali ya umeme nchini imeendelea kuwa tete. Hii inatikana na kutoka kwenye mgao hadi UKOSEFU.
 Katika hali ambayo si ya kawaida baadhi ya mikoa imekosa kabisa nishati hiyo kwa takribani siku 3 hadi 4.Mikoa hiyo ni pamoja na Mwanza, Mbeya na Arusha ambayo wananchi wake wanalizimika kulala njaa na wengine kwenye mashine za kusagisha mahindi ili waweze kupata huduma. Imeelezwa kwamba mkoa wa 
Mwanza uilipata megewatt 4 na mbeya ilipata megawatt 7 kati ya 30 zinazohitajika. Hii ndio0 TANZANIA.............

Monday 15 August 2011

MAFUTA BEI JUU

Bei ya Mafuta yarejea tena juu
 Hii ni baada ya mamlaka ya udhibiti wa mafuta na nishati Tanzania EWURA Kuongeza bei ya mafuta siku chache tu walipoishusha bei hiyu hali iliyosababisha mgomo wa wamiliki wa vituo vya mafuta. mamlaka hiyo imesema sababu ni kuongezeka kwa bei katika soko la mafuta na kushuka kwa thamani ya sarafu ya Tanzania. hata hivyo kutokana na kero iliyojottokeza watu walionekana kukubaliana na bei hiyo ili tu waondokane na adha ya mafuta