Powered By Blogger

About Me

My photo
moshi and iringa, kilimanjaro, iringa, Tanzania
A cool Tanzanian boy with appreciation, assistance and cooperation with every body for betterment.

Wednesday 6 July 2011

YANGA YAIFUATA SIMBA NUSU FAINALI

YANGA YAIFUATA SIMBA NUSU FAINALI
Timu ya Tanzania bara Dar es salaam Young Africans imeifuata na kuwa timu ya pili kwa Tanzania kuingia nusu fainali ya kagame castle cup. Simba iliingia nusu fainali baada ya kuifunga bunabwaya magoli mawili kwa moja nayo yanga imeingia nusu fainali kwa mbinde baada ya kutoka sare ya bila kufungana na red sea hai iliyolazimu mshindi apatikane kwa matuta. Yanga ilishinda kwa idadi ya penati 6 dhidi ya 5 za red sea. Licha ya ushindi hou zengwe lilitawal;a baada ya mwamuzi kurudia penati 2 ambapo moja kati ya hizo ilikuwa ni golkeeper kutoka golini kabla ya penati kupigwa ila utata ulizuka kwenye penati ya pili ambayo iligonga mwamba na mwamuzi kuamuru irudiwe bila sababu iliyoeleweka hali iliyozua tafrani uwanjani hapo. Hivyo hadi mwiso YANGA 6 REDSEA 5.

No comments:

Post a Comment