Bei ya Mafuta yarejea tena juu
Hii ni baada ya mamlaka ya udhibiti wa mafuta na nishati Tanzania EWURA Kuongeza bei ya mafuta siku chache tu walipoishusha bei hiyu hali iliyosababisha mgomo wa wamiliki wa vituo vya mafuta. mamlaka hiyo imesema sababu ni kuongezeka kwa bei katika soko la mafuta na kushuka kwa thamani ya sarafu ya Tanzania. hata hivyo kutokana na kero iliyojottokeza watu walionekana kukubaliana na bei hiyo ili tu waondokane na adha ya mafuta
No comments:
Post a Comment