Pages
About Me
- amos
- moshi and iringa, kilimanjaro, iringa, Tanzania
- A cool Tanzanian boy with appreciation, assistance and cooperation with every body for betterment.
Monday, 23 January 2012
MBIO ZA URAISI TZ
Kama ilivyo kawaida kwa sasa si jambo la ajabu kusikia tayari kuna jitihada za watu mbalimbli kuwa harakati za kugombea urisi wa jahuri y muungano wa Tanzania mwaka 2015. Hivi karibuni kumekuwa na tetesi mpya ambazo zinamhusisha mwanamama. Huyu si mwingine ni Asha Rose Migiro ambaye kwa sasa anafanya kazi UN. Migiro hivi karibuni atamaliza mkataba wake na umoja wa mataifa "UN" hivyo kurejea nyumbani Tanzania. Tetesi zinasema kuwa mama huyo anapata "support" kutoka kwa wakubwa ambao kwa sasa wameanza kumuandalia njia.
Subscribe to:
Posts (Atom)