Powered By Blogger

About Me

My photo
moshi and iringa, kilimanjaro, iringa, Tanzania
A cool Tanzanian boy with appreciation, assistance and cooperation with every body for betterment.

Monday, 20 June 2011

SIMBA NJE

Timu ya Tanzania Simba sports club almaarufu kama wekundu wa msimbazi jana walitupwa nje na timu kutoka jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo, mote mapembe mara baada ya kuchapwa magolil amwili kwa bila. Simba imetupwa nje mara baada ya nechi ya kwanza kuchomoza na ushindi wa goli moja lililofunwa na Musa hassan mgosi na hiyo jana kukubali kichapo cha magoli maili bila majibu hivyo kufanya idadi ya magoli kuwa mawili kwa moja

Saturday, 18 June 2011

TUSKER PROJECT FAME THIS SEASON

peter msechu in action
Tusker project fame iko mbioni kuanza ambapo Tanzania itawakilishwa na wasanii wawili ambao ni mshiriki wa season iliyopita na mshindi wa pili katika tusker prject Peter Msechu.
Mwingine ni Hemed. wish them all the best

Friday, 17 June 2011

SIMBA KIBARUANI TENA WEEKEND HII
Timu ya simba inatajia kucheza mchezo wa marudiano dhidi ya timu kutoka jamhuri ya kidemokrasia ya kongo mote mapembe. simba itashuka dimbani huku ikiwa na kumbukumbu ya ushindi wa goli moja lililofiungwa na musa hassan mgosi simba ilipocheza jijini dar es salaam. Ili Simba iweze kusonga mbele inahitaji sare au ushindi

Thursday, 16 June 2011

ROMA AACHIA SINGLE MPYA
Mwanamuziki wa hip hop ROMA ameachia single mpya. Single hiyo kwa sasa haina jina na amewataka mafans wake kuipa jina. Single hiyo tayari imekwisha anza kuchezwa kwene baadhi ya radio. Hta hivyo ROMA anatarajiwa kudondoka pande za Iringa jmosi hii. Wasanii wengine walioachia track hivi karibuni ni pamoja na Bob junior, Spark, na Berry white.